Archive Pages Design$type=blogging

Madam flora atoa ya moyoni.

  Tuesday, July 18, 2017   Msanii wa nyimbo za Injili Tanzania madam frola Msanii wa nyimbo za Injili Tanzania, Flora...




Msanii wa nyimbo za Injili Tanzania madam frola

Msanii wa nyimbo za Injili Tanzania, Flora Mbasha amevunja ukimya na kutoa onyo kwa baadhi ya watu wanaomchafua kupitia mitandao ya kijamii hususan Instagram.
Flora ambaye kwa sasa ameolewa na mwanaume mwingine baada ya kutengana na mume wake wa awali ambaye pia ni mzazi mwenziye, Emmanuel Mbasha, amelazimika kutoa onyo hilo baada ya kusambaa kwa taarifa mitandaoni akinukuliwa kwamba mzazi mwenziye huyo hakuwahi kumridhisha kimapenzi kwa kipindi chote walichokuwa kwenye ndoa.
Flora amekana taarifa hizo kupitia ukurasa wake wa Instagram ambapo ameandika hivi:
“Hizi habari ni za uongo, sijafanya mahojiano na redio yoyote na kuzungumza maneno hayo kama ilivyosambaa mitandaoni. Naomba mzipuuze taarifa hizo maana ni mpuuzi mmoja tu ameamua kuonesha upuuzi wake ili apate followers kwenye ukurasa wake.
“Niseme tu kwamba hivi sasa sitakaa kimya tena, huyo aliyezoea kunizushia stori za uongo asifikiri siijui sheria, ajipange vizuri maana mahakama ipo na sheria ipo, narudia tena kusema habari hii iliyosambaa mitandaoni ni ya uongo sijazungumza mimi maneno hayo.”?alisema madam frola.

COMMENTS

Name

BURUDANI HABARI MAKALA MICHEZO
false
ltr
item
DIMBWI LA HABARI TZ: Madam flora atoa ya moyoni.
Madam flora atoa ya moyoni.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgzzBzrk6QKiqKQfmNLbNjxVuhspD1wN0Z5KisNPn6zaIrMPKIunKdmRXx2F-auu-yGUfdIztQDjqaQ9CcWddqRCxTD1_F2TJes5Qx4Iq1EdfhZE2L_dKhMM48dSR387J8KBLnLIi9nvKE/s400/picmbasha.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgzzBzrk6QKiqKQfmNLbNjxVuhspD1wN0Z5KisNPn6zaIrMPKIunKdmRXx2F-auu-yGUfdIztQDjqaQ9CcWddqRCxTD1_F2TJes5Qx4Iq1EdfhZE2L_dKhMM48dSR387J8KBLnLIi9nvKE/s72-c/picmbasha.jpg
DIMBWI LA HABARI TZ
https://dimbwilahabari.blogspot.com/2017/07/flora-mbasha-awafungukia-wanaomchafua.html
https://dimbwilahabari.blogspot.com/
https://dimbwilahabari.blogspot.com/
https://dimbwilahabari.blogspot.com/2017/07/flora-mbasha-awafungukia-wanaomchafua.html
true
8218800783604508792
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago