Archive Pages Design$type=blogging

Mambo ambayo msichana yupo Single anatakiwa kuyafahamu

Siku ya leo naomba nizungumze na wale wadada wote ambao hawajoelewa (single ladies).  Ewe mwanadada yapo mambo ya msingi ambayo unapaswa ...

Siku ya leo naomba nizungumze na wale wadada wote ambao hawajoelewa (single ladies).  Ewe mwanadada yapo mambo ya msingi ambayo unapaswa kuyafahamu kabla ya kuolewa.


Mambo hayo ni;

1. Usiharakishe kutoka nyumbani kwa wazazi wako kwa gia ya kwenda kuolewa.

2. Usimsubiri mwanaume mpaka aje ndio uanze kuishi. Unaweza kuishi maisha timilifu hata ukiwa huna mwanaume.

3. Achana na pombe zimewauwa wenzako wengi kwa kisingizio cha kuondoa stress na wewe unaweza kufa pia.

4. Usiwe mtu wa kuendekeza kuzipokea na kuzijibu namba ngeni za simu hasa nyakati za usiku.. sio njia sahihi ya kupatia mpenzi....

5. Tengeneza mazingira ya kuilinda afya. Jitahidi Kunywa maji mengi na Chakula kwa diet achana na viofa ofa vya bure, vimesha waponza wenzio wengi mpaka sasa.

6. Vaa vizuri na kiheshima. Watu watavutiwa na wewe ulivyo kabla ya kuongea nawe

COMMENTS

Name

BURUDANI HABARI MAKALA MICHEZO
false
ltr
item
DIMBWI LA HABARI TZ: Mambo ambayo msichana yupo Single anatakiwa kuyafahamu
Mambo ambayo msichana yupo Single anatakiwa kuyafahamu
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiEiNPDIKrUsSLBJX-nD2kWDc6ovAH3nhd8Ud8IXlA9fAEZuTvvBh5vbVmSD6i4tpIrGjRoxSkbVpWGz4fBZc0_PPDME03RoRZpl3_dWceI37KHCaAxRgSy3P5JVM-tKrd4jdi1Ftsw2dsP/s640/Single-Girl.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiEiNPDIKrUsSLBJX-nD2kWDc6ovAH3nhd8Ud8IXlA9fAEZuTvvBh5vbVmSD6i4tpIrGjRoxSkbVpWGz4fBZc0_PPDME03RoRZpl3_dWceI37KHCaAxRgSy3P5JVM-tKrd4jdi1Ftsw2dsP/s72-c/Single-Girl.jpg
DIMBWI LA HABARI TZ
https://dimbwilahabari.blogspot.com/2018/05/mambo-ambayo-msichana-yupo-single.html
https://dimbwilahabari.blogspot.com/
https://dimbwilahabari.blogspot.com/
https://dimbwilahabari.blogspot.com/2018/05/mambo-ambayo-msichana-yupo-single.html
true
8218800783604508792
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago