Archive Pages Design$type=blogging

Eveton yamtaka Theo Walcott kwa Pauni Milioni 30

17MAY2017, Nyota wa Arsenal, Theo Walcott ametengewa dau la Pauni 30 na klabu ya Everton ikiwa ni mipango ya kocha Ron...

Nyota wa Arsenal, Theo Walcott ametengewa dau la Pauni 30 na klabu ya Everton ikiwa ni mipango ya kocha Ronald Koeman kukisuka kikosi chake msimu huu mpya.


Walcott mwenye miaka 28 alikuwa kwenye kiwango ha juu misimu kadhaa iliyopita, ikilingwanisha na sasa.Mchezaji huyo ameonyeshwa mlango wa kutokea iwapo klabu itafikia dau lililowekwa.


Mshambuliaji huyo anapewa nafasi kubwa kutua Everton kutokana na klabu hiyo kuwa na mkakati wa kumariha safu yake ya ushambuliaji.


Koeman pia anataka kumchukua mshambuliaji mwingine wa Arsenal, Olivier Giroud ambaye amemtengea Pauni 20 milioni.

COMMENTS

Name

BURUDANI HABARI MAKALA MICHEZO
false
ltr
item
DIMBWI LA HABARI TZ: Eveton yamtaka Theo Walcott kwa Pauni Milioni 30
Eveton yamtaka Theo Walcott kwa Pauni Milioni 30
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj5JtV0Sz8sA-7Eb9hpDuNfOr92EIqBxy4uSwXj-Hkruip0pf_24R6WDasqmTAvefy98611p-o209xhtxC4ea0d3EHyLCU93JW4m1cipgT-7fPwUhv9_OE7TNcUkBOgf80iE_l4Zp-12rpx/s640/walcott.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj5JtV0Sz8sA-7Eb9hpDuNfOr92EIqBxy4uSwXj-Hkruip0pf_24R6WDasqmTAvefy98611p-o209xhtxC4ea0d3EHyLCU93JW4m1cipgT-7fPwUhv9_OE7TNcUkBOgf80iE_l4Zp-12rpx/s72-c/walcott.jpg
DIMBWI LA HABARI TZ
https://dimbwilahabari.blogspot.com/2017/07/eveton-yamtaka-theo-walcott-kwa-pauni.html
https://dimbwilahabari.blogspot.com/
https://dimbwilahabari.blogspot.com/
https://dimbwilahabari.blogspot.com/2017/07/eveton-yamtaka-theo-walcott-kwa-pauni.html
true
8218800783604508792
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago