Archive Pages Design$type=blogging

Jaribio la kifaa kinachowalinda wanawake dhidi ya HIV lafaulu

 July 27 2017     Watafiti nchini Marekani wanasema kuwa jaribio ambalo vijana wa Marekani w...


Watafiti nchini Marekani wanasema kuwa jaribio ambalo vijana wa Marekani walitumia mpira wa mviringo kujilinda na virusi vya HIV limefanikiwa.

Utafiti zaidi sasa utafanyiwa vijana barani Afrika.
Wasichana walitumia mviringo wa plastiki uliowekwa dawa za kujilinda na ukimwi, ambao hulibadilishwa kila mwezi baada ya kipindi cha miezi sita.

Ni mojawapo ya mipango ya kutengeza kifaa ambacho wanawake watatumia kujilinda dhidi ya maambukizi ya HIV ili wasiweze kuwategemea wanaume kuvaa mipira ya kondomu.

Wakiripoti ugunduzi huo mpya kuhusu virusi vya HIV mjini Paris, watafiti walisema kuwa wanafurahi kwamba wasichana hao walitumia mvirongo huo na kusema kuwa wameupenda.

Wanawake na wasichana walio na kati ya umri wa miaka 15-24 wanadaiwa kuwa moja kwa tano ya visa vyote vya maambukizi ya HIV duniani.

Takriban wanawake 1000 huambukizwa virusi kila siku katika Afrika ya jangwa la sahara.

COMMENTS

Name

BURUDANI HABARI MAKALA MICHEZO
false
ltr
item
DIMBWI LA HABARI TZ: Jaribio la kifaa kinachowalinda wanawake dhidi ya HIV lafaulu
Jaribio la kifaa kinachowalinda wanawake dhidi ya HIV lafaulu
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhy3GPrGrW2FK1XjFUQsDrgwpQw94lG4AEyVZWEWIcgmcMq3QUfww48fBjslHSkO2itw3Y6vdY7AcmYtrxAP3vFt019NsQucVaSlUH3j5gWcnMCDnfkUgtdNKxFFfZ7VhS26DZLHjeJoiO6/s640/_97071455_hivring.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhy3GPrGrW2FK1XjFUQsDrgwpQw94lG4AEyVZWEWIcgmcMq3QUfww48fBjslHSkO2itw3Y6vdY7AcmYtrxAP3vFt019NsQucVaSlUH3j5gWcnMCDnfkUgtdNKxFFfZ7VhS26DZLHjeJoiO6/s72-c/_97071455_hivring.jpg
DIMBWI LA HABARI TZ
https://dimbwilahabari.blogspot.com/2017/07/jaribio-la-kifaa-kinachowalinda.html
https://dimbwilahabari.blogspot.com/
https://dimbwilahabari.blogspot.com/
https://dimbwilahabari.blogspot.com/2017/07/jaribio-la-kifaa-kinachowalinda.html
true
8218800783604508792
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago