Archive Pages Design$type=blogging

Korea Kaskazini yarusha kombora katika bahari ya Japan

Korea Kaskazini imerusha kombora jingine la masafa marefu kutoka jimbo lake la magharibi kulingana na mamlaka ya Japan na Korea Kusin...

Korea Kaskazini imerusha kombora jingine la masafa marefu kutoka jimbo lake la magharibi kulingana na mamlaka ya Japan na Korea Kusini.

Kombora hilo lilirushwa kutoka Bangyon Kaskazini mwa mkoa wa Pyongan kulingana na chombo cha habari cha Yonhap kikitaja duru za jeshi la Korea kusini.

Tokyo imesema kuwa kombora hilo huenda lilianguka katika eneo la kiuchumi la bahari ya Japan.
Korea Kaskazini imeongeza viwango vya majaribio vya makombora yake katika meizi ya hivi karibuni hatua inayoendelea kuzua wasiwasi.

Kombora hilo la siku ya Jumanne lilisafiri umbali wa kilomita 930 kwa dakika 40,kulingana na Korea Kusini na Japan.

Source: BBC

COMMENTS

Name

BURUDANI HABARI MAKALA MICHEZO
false
ltr
item
DIMBWI LA HABARI TZ: Korea Kaskazini yarusha kombora katika bahari ya Japan
Korea Kaskazini yarusha kombora katika bahari ya Japan
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjfMe3G2D1zrnoqht6ri_sFR-jkjNJcn7eZkZhCF-2MdtXvGbCVulzW0QGTxqEfGEVD9v3CivGhQr95W8XSwk-9S1V6jLXjmrZ3iosHMf5MWGFEuLCupIVTOz0D44GSuF1e_PFWgEmlTiTc/s1600/_96793813_northkoreamissile4.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjfMe3G2D1zrnoqht6ri_sFR-jkjNJcn7eZkZhCF-2MdtXvGbCVulzW0QGTxqEfGEVD9v3CivGhQr95W8XSwk-9S1V6jLXjmrZ3iosHMf5MWGFEuLCupIVTOz0D44GSuF1e_PFWgEmlTiTc/s72-c/_96793813_northkoreamissile4.jpg
DIMBWI LA HABARI TZ
https://dimbwilahabari.blogspot.com/2017/07/korea-kaskazini-yarusha-kombora-katika.html
https://dimbwilahabari.blogspot.com/
https://dimbwilahabari.blogspot.com/
https://dimbwilahabari.blogspot.com/2017/07/korea-kaskazini-yarusha-kombora-katika.html
true
8218800783604508792
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago