post-feature-image
HomeHABARI

lori laua mtu mmoja Songea

  Tuesday, July 18, 2017   Mtu mmoja aliyejulikana kwa jina la SULTAN YUSUPH, ambaye alikuwa utingo, mkazi wa Kibaha Mkoan...


Mtu mmoja aliyejulikana kwa jina la SULTAN YUSUPH, ambaye alikuwa utingo, mkazi wa Kibaha Mkoani Pwani,amefariki dunia baada ya lori aina ya Howo kupinduka katika Kijiji cha Gumbiro Wilaya ya Songea Mkoani  Ruvuma.
Lori hilo  lililokuwa limebeba makaa ya mawe lilikuwa likitokea Kitai Wilaya ya Mbinga Mkoani Ruvuma.
Kamanda wa Polisi Mkoani Ruvuma, GEMINI MUSHY amesema kuwa dereva wa  lori  hilo amejulikana kwa jina la KAZI YUSUPH na kwamba gari hilo ni mali ya kampuni ya Sun Shine ya Wilayani kibaha mkoa wa pwani na kwamba chanzo cha ajali hiyo ni uzembe wa dereva wa gari hilo kuendesha gari kwa mwendo kasi.
Kamanda MUSHY amesema hali ya dereva wa gari hilo inaendelea vizuri baada ya kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Mkoa wa Ruvuma kutokana na majeraha aliyoyapata katika sehemu mbalimbali za mwili wake.
Ametoa wito kwa madereva kwamba jeshi hilo litaongeza kasi ya kuwapima kiwango cha ulevi madereva wote ili kuondokana na ajali zinazo sababisha kupoteza maisha ya Watanzania

Name

BURUDANI HABARI MAKALA MICHEZO
false
ltr
item
DIMBWI LA HABARI TZ: lori laua mtu mmoja Songea
lori laua mtu mmoja Songea
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjm44fYP6oLwkS_pR85xmlrMGh_Dhz4TULFyInne-A6MpQv9Q42Rh2PW9d7TopT4QPzN9b17TjSV5QAHsI1Z5jpxToUo2gCwaeTGde_slWQmfFPdKaDms0wUQMf_1kcCuwV4XYfzCBSHNI/s400/ajali%252815%2529.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjm44fYP6oLwkS_pR85xmlrMGh_Dhz4TULFyInne-A6MpQv9Q42Rh2PW9d7TopT4QPzN9b17TjSV5QAHsI1Z5jpxToUo2gCwaeTGde_slWQmfFPdKaDms0wUQMf_1kcCuwV4XYfzCBSHNI/s72-c/ajali%252815%2529.jpg
DIMBWI LA HABARI TZ
https://dimbwilahabari.blogspot.com/2017/07/lori-laua-mtu-mmoja-songea.html
https://dimbwilahabari.blogspot.com/
https://dimbwilahabari.blogspot.com/
https://dimbwilahabari.blogspot.com/2017/07/lori-laua-mtu-mmoja-songea.html
true
8218800783604508792
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago