Archive Pages Design$type=blogging

Muuguzi Aliyemchoma Sindano na Kumbaka Ndugu wa Mgonjwa Asimamishwa Kazi

19 july 2017 Muuguzi wa Kituo cha Afya Kata ya Igurubi Wilaya ya Igunga mkoani Tabora, Damian Samson Mguya (26) amesima...

19 july 2017








Muuguzi wa Kituo cha Afya Kata ya Igurubi Wilaya ya Igunga mkoani Tabora, Damian Samson Mguya (26) amesimamishwa kazi na kufutiwa leseni yake ya uuguzi kwa tuhuma za kumbaka ndugu wa mgonjwa baada ya kumuwekea dawa za kulevya.

Kufuatia kitendo hicho Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imelaani kitendo ambacho muuguzi huyo amekifanya na kutaka leseni ya muuguzi huyo kusitishwa mara moja kwa kukiuka taratibu na kanuni za uuguzi.

Aidha msemaji wa Idara Kuu ya Afya, Nsachris Mwamwaja amewataka watumishi wote wa sekta ya afya nchini kuhakikisha wanafuata kanuni, utaratibu na maadili ya taaluma zao muda wote na siku zote. 

Muuguzi Damian Mguya anashikiliwa na polisi kwa tuhuma ya kumbaka binti wa miaka 18 mkazi wa Kijiji cha Mwagala, ambaye aliongozana na mgonjwa kwenda katika kituo hicho cha afya, upelelezi wa tukio hilo utakapokamilika muuguzi huyo atafikishwa mahakamani kujibu tuhuma hizo. 

COMMENTS

Name

BURUDANI HABARI MAKALA MICHEZO
false
ltr
item
DIMBWI LA HABARI TZ: Muuguzi Aliyemchoma Sindano na Kumbaka Ndugu wa Mgonjwa Asimamishwa Kazi
Muuguzi Aliyemchoma Sindano na Kumbaka Ndugu wa Mgonjwa Asimamishwa Kazi
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiaTrjGEqhGtqvnBLf7EgCriYjAiOUciPZpduCNV_NMQHdAGy-ccgNCUyRxIbGN0H5eDFFG4ya_sBhRCX8rgOEDtNjuw0TfdT8hJwPvXK_WGkzceLa7rvl2T52yY-tqYNSVAiWfA6bdoORM/s1600/2.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiaTrjGEqhGtqvnBLf7EgCriYjAiOUciPZpduCNV_NMQHdAGy-ccgNCUyRxIbGN0H5eDFFG4ya_sBhRCX8rgOEDtNjuw0TfdT8hJwPvXK_WGkzceLa7rvl2T52yY-tqYNSVAiWfA6bdoORM/s72-c/2.jpg
DIMBWI LA HABARI TZ
https://dimbwilahabari.blogspot.com/2017/07/muuguzi-aliyemchoma-sindano-na-kumbaka.html
https://dimbwilahabari.blogspot.com/
https://dimbwilahabari.blogspot.com/
https://dimbwilahabari.blogspot.com/2017/07/muuguzi-aliyemchoma-sindano-na-kumbaka.html
true
8218800783604508792
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago