Archive Pages Design$type=blogging

Pwani: Mwanamke auawa, Polisi watangaza vita!

 July 26, 2017   Baada ya mkazi wa Mharani kwa Matiasi wilayani Kibaha kukutwa amefariki dunia kwa kuuawa na watu wasiojulikana...

Baada ya mkazi wa Mharani kwa Matiasi wilayani Kibaha kukutwa amefariki dunia kwa kuuawa na watu wasiojulikana jana majira ya saa moja usiku, Kamanda wa Polisi mkoani Pwani Jonathan Shana ametangaza mapambano makali ya kuwatia nguvuni wahalifu.

Kamanda Shana amesema kuwa  mwili wa mwanamke huyo aliyetambuliwa kwa jina la Mariamu Omari (31) ulikutwa nje ya nyumba anayoishi mbele kidogo umbali wa mita 40 akiwa anavuja damu nyingi sehemu za usoni na jereha kichwani upande wa kushoto huku muuaji akiwa bado hajafahamika.

"Kufuatia tukio hili jeshi la polisi mkoani Pwani linafanya uchunguzi wa kina kuhakikisha wanaweza kuwabaini waliojihusisha na tukio hilo, Pia wananchi wanatakiwa watoe ushirikiano kwa kuwafichua wahalifu ili waweze kuchukuliwa hatua za kisheria.

Pamoja na hayo Kamanda Shana amewatahadharisha watu wote wanaojishughulisha na vitendo vya uhalifu kuacha mara moja  kwani jeshi limejipanga kuwasaka na kuwafikisha katika vyombo vya sheria.

COMMENTS

Name

BURUDANI HABARI MAKALA MICHEZO
false
ltr
item
DIMBWI LA HABARI TZ: Pwani: Mwanamke auawa, Polisi watangaza vita!
Pwani: Mwanamke auawa, Polisi watangaza vita!
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjZ7-gcj9G6oiXaz6egdMv5YA-pp0cNK9k0JYKfNAud3MIli68g9XA4rJNrhKiDRV8QL0s1GBxI3kcojFmLYs7wgP7fFRprISm3OT09yEpn5c4ZHsSKf7OCiecgjAh8BMTINYEdT79nQRA/s400/rpc+pwani+.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjZ7-gcj9G6oiXaz6egdMv5YA-pp0cNK9k0JYKfNAud3MIli68g9XA4rJNrhKiDRV8QL0s1GBxI3kcojFmLYs7wgP7fFRprISm3OT09yEpn5c4ZHsSKf7OCiecgjAh8BMTINYEdT79nQRA/s72-c/rpc+pwani+.jpg
DIMBWI LA HABARI TZ
https://dimbwilahabari.blogspot.com/2017/07/pwani-mwanamke-auawa-polisi-watangaza.html
https://dimbwilahabari.blogspot.com/
https://dimbwilahabari.blogspot.com/
https://dimbwilahabari.blogspot.com/2017/07/pwani-mwanamke-auawa-polisi-watangaza.html
true
8218800783604508792
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago