Archive Pages Design$type=blogging

Rais Magufuli Afungua Barabara ya Kagoma-Biharamulo-Lusahunga yenye urefu wa Kilometa 154

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa amesema Barabara ya Kagoma-Biharamulo-Lusahunga imegharimu Sh 190 bilio...

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa amesema Barabara ya Kagoma-Biharamulo-Lusahunga imegharimu Sh 190 bilioni.

Waziri Mbarawa ametoa tamko hilo leo wakati wa uzinduzi wa barabara hiyo mbele ya umati mkubwa wa watu ambao wamehudhuria uzinduzi wa barabara hiyo ya  kiwango cha lami yenye urefu wa kilometa 154.

Akizindua ujenzi wa barabara hiyo leo Rais John Magufuli amesema kwamba Biharamulo imeshika nafasi ya pili kwa umasikini na wananchi wanafanya ulinganisho na hali ilivyo tofauti katika wilaya jirani ya Chato.

Kwa upande wake Mbunge wa Biharamulo, Oscar Mukasa amesema wanaunga mkono msimamo wa Rais kupiga marufuku wanafunzi wanaobeba mimba kuendelea na masomo na wameanzisha shule ya wasichana ya bweni kuunga mkono kauli yake.

COMMENTS

Name

BURUDANI HABARI MAKALA MICHEZO
false
ltr
item
DIMBWI LA HABARI TZ: Rais Magufuli Afungua Barabara ya Kagoma-Biharamulo-Lusahunga yenye urefu wa Kilometa 154
Rais Magufuli Afungua Barabara ya Kagoma-Biharamulo-Lusahunga yenye urefu wa Kilometa 154
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEidEbN3SvzkqNhhx4If7HrwYSZfHgFSbD4w6M5Qh-nxhxP6QGhNEPeyHLfczAOHI9Hla2kvDEMeA5few-7pQaFl8zD0tFdQd8G3jYe4aky9ZoH02jBDDeHIGhlZEuFnBMQzW_BjbD3nIv9P/s1600/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEidEbN3SvzkqNhhx4If7HrwYSZfHgFSbD4w6M5Qh-nxhxP6QGhNEPeyHLfczAOHI9Hla2kvDEMeA5few-7pQaFl8zD0tFdQd8G3jYe4aky9ZoH02jBDDeHIGhlZEuFnBMQzW_BjbD3nIv9P/s72-c/1.jpg
DIMBWI LA HABARI TZ
https://dimbwilahabari.blogspot.com/2017/07/rais-magufuli-afungua-barabara-ya.html
https://dimbwilahabari.blogspot.com/
https://dimbwilahabari.blogspot.com/
https://dimbwilahabari.blogspot.com/2017/07/rais-magufuli-afungua-barabara-ya.html
true
8218800783604508792
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago