post-feature-image
HomeHABARI

Uruguay imekuwa nchi ya kwanza duniani kuhalalisha bangi

  Wednesday, July 19, 2017   Uruguay imekuwa nchi kwanza duniani kuhalalisha mauzo ya bangi kwa minajili ya kujiburudisha. ...

CCM kutoa mikopo kwa wanafunzi
Rais Magufuli Atishia Kuifunga Migodi ya Madini Endapo Barrick Watachelewa Katika Mazungumzo
Tanzania yatajwa kuwa nchi bora ya utalii.


Uruguay imekuwa nchi kwanza duniani kuhalalisha mauzo ya bangi kwa minajili ya kujiburudisha.
Maduka ya kuuza madawa 16 yalianza kuuza bangi leo Jumatano.

Karibu watu 5,000 wamejiandisha na serikali kuweza kununua bangi kwa njia halali.

Watanunua hadi gramu 10 kwa wiki na sio zaidi ya gramu 40 kwa mwezi.

Hatua hii inakuja miaka minne baada ya sheria kupitishwa iliyohalalisha biashara ya bangi.

Wale wanaounga mkono wanasema kuwa itasaidia kukomesha biashara haramu ya bangi na kuwatupa nje wauza madawa ya kulevya.

Wafanya biashara wanaweza kuchagua kutoka aina mbili ya bangi kati ya Alpha 1 na Beta 1.
Bei ya gramu tano za bangi itauzwa kwa dola 6.50

Bangi inayouzwa kwenye maduka ya mdawa hutoka mashamba yanayosimiwa na serikali.

Sheria hiyo pia huwaruhusu watu kupanda bangi yao nyumbani au kujiunga na vilabu vinavyofanya kilimo cha mmea huo.
Name

BURUDANI HABARI MAKALA MICHEZO
false
ltr
item
DIMBWI LA HABARI TZ: Uruguay imekuwa nchi ya kwanza duniani kuhalalisha bangi
Uruguay imekuwa nchi ya kwanza duniani kuhalalisha bangi
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiEwiNWQnvEiSq_k0OCIDBw6xnZrDQFgWbv8mdrkHcuZKMs0011FXMdXvHZrvkzbguhLATNDeby27zXLEOzSs-Wb-hsoEfG734kTRkt2xW3FpOalm52U8yNU787cs8S1o7IVNbfxBYc7bk/s400/BANGI.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiEwiNWQnvEiSq_k0OCIDBw6xnZrDQFgWbv8mdrkHcuZKMs0011FXMdXvHZrvkzbguhLATNDeby27zXLEOzSs-Wb-hsoEfG734kTRkt2xW3FpOalm52U8yNU787cs8S1o7IVNbfxBYc7bk/s72-c/BANGI.jpg
DIMBWI LA HABARI TZ
https://dimbwilahabari.blogspot.com/2017/07/uruguay-imekuwa-nchi-ya-kwanza-duniani.html
https://dimbwilahabari.blogspot.com/
https://dimbwilahabari.blogspot.com/
https://dimbwilahabari.blogspot.com/2017/07/uruguay-imekuwa-nchi-ya-kwanza-duniani.html
true
8218800783604508792
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago