post-feature-image
HomeHABARI

India: Mke aruhusiwa kuachwa na bwana kwa sababu nyumba yao haina choo

Sunday, August 20, 2017   Mahakama kaskazini mwa India, imempa ruhusa mwanamke katika jimbo la Rajasthan ruhusa aachwe na m...


Mahakama kaskazini mwa India, imempa ruhusa mwanamke katika jimbo la Rajasthan ruhusa aachwe na mumewe, kwa sababu nyumba yao haina choo.

Wakili wa mke, alidai kuwa kwa vile mume hakumjengea choo ndani ya nyumba, katika miaka mitano ya ndoa, basi huo ni ukatili.

Jaji alisema kwenda kufanya haja nje ni kitu cha aibu, na ni kumuadhibu mwanamke, kukosa kumuweka mwanamke pahala salama anapokwenda haja.

Shirika la kuhudumia watoto la Umoja wa Mataifa UNICEF linasema kuwa karibu nusu ya watu nchini India, karibu watu milioni 600 hawana choo.

Mwaka uliopita mwanamke alikataa kuolewa na mwanamume mmoja katika jimbo la Uttar Pradesh baada ya mwanamume kukataa kujenga choo.
Name

BURUDANI HABARI MAKALA MICHEZO
false
ltr
item
DIMBWI LA HABARI TZ: India: Mke aruhusiwa kuachwa na bwana kwa sababu nyumba yao haina choo
India: Mke aruhusiwa kuachwa na bwana kwa sababu nyumba yao haina choo
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiZ5FwhNWYkYaOr8eUfo2LIYHzefEp3mW02wOGYt8PpEIVw33cGmxiEzfMflviWFZa-fY6qqntDKqipGdGEj6-vvQZwd_7-QiNuXiHuhqceCphAat9NMWWDV2wSulYvMQfkyY1pXBf_u9OX/s400/indi-MMAP-md.png
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiZ5FwhNWYkYaOr8eUfo2LIYHzefEp3mW02wOGYt8PpEIVw33cGmxiEzfMflviWFZa-fY6qqntDKqipGdGEj6-vvQZwd_7-QiNuXiHuhqceCphAat9NMWWDV2wSulYvMQfkyY1pXBf_u9OX/s72-c/indi-MMAP-md.png
DIMBWI LA HABARI TZ
https://dimbwilahabari.blogspot.com/2017/08/india-mke-aruhusiwa-kuachwa-na-bwana.html
https://dimbwilahabari.blogspot.com/
https://dimbwilahabari.blogspot.com/
https://dimbwilahabari.blogspot.com/2017/08/india-mke-aruhusiwa-kuachwa-na-bwana.html
true
8218800783604508792
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago