Archive Pages Design$type=blogging

Mwingine ajiuzuru kwenye uongozi wa Trump

Sunday20,August 2017, 2017   Mwanachama wa kamati ya washauri wa kidini ya Donald Trump ametangaza kujiuzulu siku ya Ijumaa...


Mwanachama wa kamati ya washauri wa kidini ya Donald Trump ametangaza kujiuzulu siku ya Ijumaa kufuatia kauli ya rais huyo katika mkutano wa watu weupe pekee.

A.R. Bernard ambaye ni kiongozi wa wafuasi  37,000 wab chama cha Utamaduni wa Kikristo aliambia CNN kwamba amejiondoa kabisa kutoka bodi hiyo .

Bernard ni raia wa Marekani mwenye asili ya kiafrika ambaye pia ni mwanachama wa bodi ya wanachama 25 wa kidini katika White House .

Baada ya kuwa na ghasia zilizosababishwa na ubaguzi wa rangi rais Trump alisema wazi wazi kwamba makundi yaliyohusika yote yalisababisha vurugu hizo haatari jambo ambalo lilizua ukosoaaji mkuu kutoka kwa Republicans na Democrats .

COMMENTS

Name

BURUDANI HABARI MAKALA MICHEZO
false
ltr
item
DIMBWI LA HABARI TZ: Mwingine ajiuzuru kwenye uongozi wa Trump
Mwingine ajiuzuru kwenye uongozi wa Trump
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgmd8G5yGArH-aOmmb66eVANpD9__t56-YSaSaRsklD4N3eWu0wAeIYkxShKnclpPI7gSgsvy0eNA8n5kZmX8y4ABr2b_5NvMpM_eEFgX-WQ3XblvWncfE3UR7Vv_vW59zOyodCcNsbnBOs/s400/5997ec8e7fabf.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgmd8G5yGArH-aOmmb66eVANpD9__t56-YSaSaRsklD4N3eWu0wAeIYkxShKnclpPI7gSgsvy0eNA8n5kZmX8y4ABr2b_5NvMpM_eEFgX-WQ3XblvWncfE3UR7Vv_vW59zOyodCcNsbnBOs/s72-c/5997ec8e7fabf.jpg
DIMBWI LA HABARI TZ
https://dimbwilahabari.blogspot.com/2017/08/mwingine-ajiuzuru-kwenye-uongozi-wa.html
https://dimbwilahabari.blogspot.com/
https://dimbwilahabari.blogspot.com/
https://dimbwilahabari.blogspot.com/2017/08/mwingine-ajiuzuru-kwenye-uongozi-wa.html
true
8218800783604508792
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago