post-feature-image
HomeHABARI

DR Congo:Wapinzani 12 waliotuhumiwa kumkashifu Rais Kabila waachwa huru

Sunday, September 10, 2017   Wapinzani 12 waliotuhumiwa kumkashifu rais Kabila waachwa huru Jamhuri ya Kidemokrasia ya Cong...


Wapinzani 12 waliotuhumiwa kumkashifu rais Kabila waachwa huru Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.

Wapinzani hao 12  walikamatwa katika maandamano dhidi ya rais Kabila yaliofanyika Desemba 19 mwaka 2016.

Waandamanaji hao waliandamana wakimtaka rais Kabila  kuondoka madarakani.

Mahakama ya Kivu-Kaskazini Mashariki mwa  Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imewaacha huru  wapinzani hao.

Maandamano hayo yalifanyika wakati ambapo muhula wa rais Kabila  ulikuwa umefikia ukingoni.

Miongoni mwa wapinzani waliokamatwa na kuachwa huru alikuemo mwanamke mmoja.
Name

BURUDANI HABARI MAKALA MICHEZO
false
ltr
item
DIMBWI LA HABARI TZ: DR Congo:Wapinzani 12 waliotuhumiwa kumkashifu Rais Kabila waachwa huru
DR Congo:Wapinzani 12 waliotuhumiwa kumkashifu Rais Kabila waachwa huru
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjyNnBt17NaIaBg9awBdr-3sNr7PqGKeXy7_gQPobQeATqeQFwew2TLZ36GhRxafEca1ueBpwxcbnfhySSjIESldUBbNSzN32vYjJ70m1aAOsnCW2HGOycXJe6blF9oYI6blsuFu5fxNJEG/s400/Kabilajo.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjyNnBt17NaIaBg9awBdr-3sNr7PqGKeXy7_gQPobQeATqeQFwew2TLZ36GhRxafEca1ueBpwxcbnfhySSjIESldUBbNSzN32vYjJ70m1aAOsnCW2HGOycXJe6blF9oYI6blsuFu5fxNJEG/s72-c/Kabilajo.jpg
DIMBWI LA HABARI TZ
https://dimbwilahabari.blogspot.com/2017/09/dr-congowapinzani-12-waliotuhumiwa.html
https://dimbwilahabari.blogspot.com/
https://dimbwilahabari.blogspot.com/
https://dimbwilahabari.blogspot.com/2017/09/dr-congowapinzani-12-waliotuhumiwa.html
true
8218800783604508792
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago