post-feature-image
HomeMAKALA

Mitandao ya kijamii inaweza kusababisha magonjwa ya akili - Utafiti

Je, unapenda kufungua mitandao mbalimbali ya jamii kama Facebook, Tweeter, Instagram, Google Plus, Snapchat, LinkedIn, Youtube na mingi...

Kuwa Tajiri kwa Mtaji wa Laki 3 tu, Kupitia Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji
Zijue mbinu Za kujitibu chunusi Bila Kutumia Na Gharama Kubwa
DALILI ZA TEZI DUME

Je, unapenda kufungua mitandao mbalimbali ya jamii kama Facebook, Tweeter, Instagram, Google Plus, Snapchat, LinkedIn, Youtube na mingineyo kila siku?

Kama jibu ni ndiyo, basi uko hatarini kupata tatizo la msongo wa mawazo na wasiwasi.

Utafiti mpya uliofanywa na Chuo Kikuu cha Pittsburgh cha Pennsylvania nchini Marekani mwaka 2014 na kuzinduliwa mwaka huu, unaonyesha kuwa matumizi ya mara kwa mara ya mitandao ya jamii yanaweza kusababisha magonjwa ya akili, ukiwamo msongo wa mawazo na wasiwasi.

Wakati kukiwa na tatizo hilo, inakadiriwa kuwa asilimia 71 ya vijana duniani kote hutembelea mitandao tofauti ya jamii kila siku huku simu za mikononi zinazowezesha kupatikana mitandao hiyo kirahisi zikizidi kubuniwa na kuboreshwa.
Name

BURUDANI HABARI MAKALA MICHEZO
false
ltr
item
DIMBWI LA HABARI TZ: Mitandao ya kijamii inaweza kusababisha magonjwa ya akili - Utafiti
Mitandao ya kijamii inaweza kusababisha magonjwa ya akili - Utafiti
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg8w1MNNIz7O77q7tPJYOwvc042Bc9X8whXDLjG7mxNxgaRoY0vSpXwMCrEKI-CrVrBiWJasXIt7xceuUTlLNFvusurbTJYWi9RTxb7C2MMKMCNGgtXBA7KhyphenhyphenN1DPhELrsb4-5LVeOkPfY/s640/social-media-for-writers.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg8w1MNNIz7O77q7tPJYOwvc042Bc9X8whXDLjG7mxNxgaRoY0vSpXwMCrEKI-CrVrBiWJasXIt7xceuUTlLNFvusurbTJYWi9RTxb7C2MMKMCNGgtXBA7KhyphenhyphenN1DPhELrsb4-5LVeOkPfY/s72-c/social-media-for-writers.jpg
DIMBWI LA HABARI TZ
https://dimbwilahabari.blogspot.com/2017/09/mitandao-ya-kijamii-inaweza-kusababisha.html
https://dimbwilahabari.blogspot.com/
https://dimbwilahabari.blogspot.com/
https://dimbwilahabari.blogspot.com/2017/09/mitandao-ya-kijamii-inaweza-kusababisha.html
true
8218800783604508792
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago