post-feature-image
HomeMAKALA

safisha ngozi kwa mtindi

sunday september 10 2017   urembo Ulisha wahi kukaa ukajiuliza mbona kuna baadhi ya watu wana ngozi nzuri laini na soft? l...


Ulisha wahi kukaa ukajiuliza mbona kuna baadhi ya watu wana ngozi nzuri laini na soft? lakini kwako ni tofauti? ukawaza labda wanatumia vitu vya bei ghali ambavyo wewe huwezi ku – afford, au umesha hangaika na ma –  cosmetics lakini bado ngozi yako haikubali kukaa vizuri?

Jaribu hii Home made Yogurt Cleansing ,Tumia mtindi ambao hauna mafuta mengi au hauna kabisa (low fat),

Paka mtindi wako usoni fanya kama una sugua kwa muda mchache halafu uache kwa dakika 15, fanya hivi mara mbili kila siku na utapata matokeo kwa muda mchache.

Hii husaidia kuondoa cell za ngozi zilizo kufa (dead skin cells) na protein tighten the pore.
Name

BURUDANI HABARI MAKALA MICHEZO
false
ltr
item
DIMBWI LA HABARI TZ: safisha ngozi kwa mtindi
safisha ngozi kwa mtindi
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjodtOa2_SAsGsT5GXxkOVx80yJ8xwNOanLAY2EePq01UBEk9jZWqCaVq_z1pA6sA3rnBIlJvhEj2zPJ3Wz8xSbor1ZISXWR3RvBrpTugHgEgxklttGaCdcqTvCmZr_yP5hrr3toc9lm3U/s640/Yogurt-skin-cleansing-500x255.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjodtOa2_SAsGsT5GXxkOVx80yJ8xwNOanLAY2EePq01UBEk9jZWqCaVq_z1pA6sA3rnBIlJvhEj2zPJ3Wz8xSbor1ZISXWR3RvBrpTugHgEgxklttGaCdcqTvCmZr_yP5hrr3toc9lm3U/s72-c/Yogurt-skin-cleansing-500x255.jpg
DIMBWI LA HABARI TZ
https://dimbwilahabari.blogspot.com/2017/09/safisha-ngozi-kwa-mtindi.html
https://dimbwilahabari.blogspot.com/
https://dimbwilahabari.blogspot.com/
https://dimbwilahabari.blogspot.com/2017/09/safisha-ngozi-kwa-mtindi.html
true
8218800783604508792
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago