Familia ya Aliekuwa Video Vixen, Maarufu Agness Gerald Maarufu kama Masogange wamekubaliana na Taratibu zilizopangwa na wasanii kuhusiana ...
Familia ya Aliekuwa Video Vixen, Maarufu Agness Gerald Maarufu kama Masogange wamekubaliana na Taratibu zilizopangwa na wasanii kuhusiana na ratiba nzima ya mazishi ya marehemu ambapo zoezi la kuaga mwili wa marehemu litafanyika katika viwanja vya leaders club, na baadae kuusafirisha mwili wa marehemu agnes masogange kuelekea mbeya kwa mazishi.
Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina la Bwana libarikiwe.
Chanz:muungwana.
Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina la Bwana libarikiwe.
Chanz:muungwana.