post-feature-image
HomeHABARI

Rais Magufuli Ampa Pole Mwakyembe.

17may2017 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amemtumia salamu za rambir...

India: Mke aruhusiwa kuachwa na bwana kwa sababu nyumba yao haina choo
,Wapigadebe 150 kufikishwa mahakamani
Vitu Vinavyo Sababisha Usiwe Tajiri
17may2017




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amemtumia salamu za rambirambi Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison George Mwakyembe kufuatia kifo cha mkewe Bi. Linah George Mwakyembe kilichotokea usiku wa tarehe 15 Julai, 2017.


Bi. Linah George Mwakyembe amefariki dunia katika hospitali ya Agha Khan Jijini Dar es Salaam alikokuwa akipatiwa matibabu.


Katika salamu hizo, Mhe. Rais Magufuli ameelezea kushtushwa na kusikitishwa na kifo hicho, na amesema yeye na familia yake wanaungana na familia ya Dkt. Mwakyembe katika kipindi hiki kigumu cha majonzi.


“Nakupa pole sana Dkt. Mwakyembe kwa kuondokewa na mkeo mpendwa Bi. Linah, natambua hisia za maumivu ulizonazo wewe na familia nzima, nyote nawaombea Mwenyezi Mungu awatie nguvu, awape subira na uvumilivu katika kipindi hiki kigumu cha majonzi.


"Namuombea Marehemu Linah George Mwakyembe apumzishwe mahali pema peponi, Amina” amesema Mhe. Rais Magufuli.

Name

BURUDANI HABARI MAKALA MICHEZO
false
ltr
item
DIMBWI LA HABARI TZ: Rais Magufuli Ampa Pole Mwakyembe.
Rais Magufuli Ampa Pole Mwakyembe.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgrqvsQIRh3zhDV13YLO4iLFXdKq35zWmZQ5tAZmA8ohSH8KgPo-w_NAjB9z0TUfGmCJb91L6_sPOGHenqcWhSrOxCUm8I-a-wArnyb-kDtxoZOF1sZFCai7TUwn4BPOFyuTngcwXK-OJKT/s1600/1.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgrqvsQIRh3zhDV13YLO4iLFXdKq35zWmZQ5tAZmA8ohSH8KgPo-w_NAjB9z0TUfGmCJb91L6_sPOGHenqcWhSrOxCUm8I-a-wArnyb-kDtxoZOF1sZFCai7TUwn4BPOFyuTngcwXK-OJKT/s72-c/1.JPG
DIMBWI LA HABARI TZ
https://dimbwilahabari.blogspot.com/2017/07/rais-magufuli-ampa-pole-mwakyembe.html
https://dimbwilahabari.blogspot.com/
https://dimbwilahabari.blogspot.com/
https://dimbwilahabari.blogspot.com/2017/07/rais-magufuli-ampa-pole-mwakyembe.html
true
8218800783604508792
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago