post-feature-image
HomeMAKALA

Unaifahamu Nguzo Muhimu kwa Mafanikio ya Biashara yako?

  Thursday, July 27, 2017     biashara Kuna mtazamo mbaya kwa watu ambao wako njee na ndani ya biashara kuhusu biashara k...


Kuna mtazamo mbaya kwa watu ambao wako njee na ndani ya biashara kuhusu biashara kwamba ni sehemu ya kufaidika tu wakati wengine wanaumia.

Wanadhani kwamba kwenya biashara unahitaji kuangalia faida tu bila ya kujali mambo mengine yanaendaje.

Ni kweli biashara lazima iwe na faida, lakini kwa mtazamo wa aina hii, wengi wameingia kwenye biashara na kushindwa kufikia mafanikia makubwa kwa sababu wao wanajali faida tu na kuachana na vitu vingine na hata kama wakipata mafanikio, mafanikio hayo niya mda mfupi tu.

Hakuna kitu muhimu kwenye biashara yenye mafanikio ya kudumu kama uaminifu. Biashara zote ambazo unaona zimefanikiwa zimejengwa kwenye misingi ya uaminifu.

Kama umeamua kufanya biashara, jua ya kwamba uaminifu ni kitu ambacho huwezi kucheza nacho hata kidogo. Uaminifu ni nguzo muhimu sana kwenye biashara yako. kwa jinsi utakavyotunza uaminifu ndivyo utakavyoweza kudumu kwenye biashara na kufanikiwa pia.
Name

BURUDANI HABARI MAKALA MICHEZO
false
ltr
item
DIMBWI LA HABARI TZ: Unaifahamu Nguzo Muhimu kwa Mafanikio ya Biashara yako?
Unaifahamu Nguzo Muhimu kwa Mafanikio ya Biashara yako?
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiACiFkwIbgLNXUrwcdVbWN6d6p2LNAXpgBEAHm5kcrI3lHecjn_59eFE-ZRJD7aCkQtEe_D3BhCRpbLL9prRF02lo6L4JQXwlYF-MET4Q6j4B7AhZW7JV8SuioYDPZpbDKeSr7pe253-Ow/s320/NGUZO-7-ZA-MAFANIKIO-BINAFSI-300x201.png
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiACiFkwIbgLNXUrwcdVbWN6d6p2LNAXpgBEAHm5kcrI3lHecjn_59eFE-ZRJD7aCkQtEe_D3BhCRpbLL9prRF02lo6L4JQXwlYF-MET4Q6j4B7AhZW7JV8SuioYDPZpbDKeSr7pe253-Ow/s72-c/NGUZO-7-ZA-MAFANIKIO-BINAFSI-300x201.png
DIMBWI LA HABARI TZ
https://dimbwilahabari.blogspot.com/2017/07/unaifahamu-nguzo-muhimu-kwa-mafanikio.html
https://dimbwilahabari.blogspot.com/
https://dimbwilahabari.blogspot.com/
https://dimbwilahabari.blogspot.com/2017/07/unaifahamu-nguzo-muhimu-kwa-mafanikio.html
true
8218800783604508792
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago