post-feature-image
HomeHABARI

Polisi Yaanza Kuchunguza Mlipuko Ulioteketeza Ofisi za Mawakili Fatma Karume na Lawrence Marsha

Saturday, August 26, 2017 Kaimu Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar ...

Wednesday, March 14, 2018 Rais Magufuli Awapa ONYO TRA
Rais Magufuli ashiriki Misa ya majivu
Dkt.Shika ajipanga kuvuta jiko.


Saturday, August 26, 2017


Kaimu Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Lucas Mkondya amethibitisha kushambuliwa ofisi za wanasheria za IMMMA saa 8 usiku wa kuamkia leo Jumamosi, Agosti 26.

Mkondya amesema polisi wanafanya uchunguzi kujua ni nini kilihusika katika tukio hilo la mlipuko.

“Tupo hapa eneo la tukio, uchunguzi unaendelea na ukikamilika tutawapa taarifa zaidi, ila hatujajua kama bomu limehusika,” amesema Mkondya.

Ameeleza hadi sasa hakuna watu wanaoshikiliwa kuhusika na tukio hilo.

Mmoja wa viongozi wa Kampuni ya IMMMA, Sadock Magai amesema hakuna wizi ambao umefanyika katika mali zilizokuwa ndani.

“Tuwaachie Jeshi la Polisi wafanye kazi yao,” amesema Magai.

Ofisi za wanasheria wa kampuni hiyo zipo Barabara ya Umoja wa Mataifa eneo la Upanga jijini hapa.

Miongoni mwa wamiliki wa kampuni hiyo ni Fatma Karume, ambaye ni mtoto wa Rais mstaafu wa Zanzibar, Amani Abeid Karume.
Name

BURUDANI HABARI MAKALA MICHEZO
false
ltr
item
DIMBWI LA HABARI TZ: Polisi Yaanza Kuchunguza Mlipuko Ulioteketeza Ofisi za Mawakili Fatma Karume na Lawrence Marsha
Polisi Yaanza Kuchunguza Mlipuko Ulioteketeza Ofisi za Mawakili Fatma Karume na Lawrence Marsha
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiRpaRTJhx0PH5q7b-KKpGFEnC5vqv3ESqWeIUvXlqgWwT4q6_J9hqQcgF7Avkgs1HKH3aydUcpRSLUqjbg33qhl3sRx_xW_i-v8rWVmxuTudCSsvep52tnhttAR1TXSzVdghBE2LQE09AY/s1600/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiRpaRTJhx0PH5q7b-KKpGFEnC5vqv3ESqWeIUvXlqgWwT4q6_J9hqQcgF7Avkgs1HKH3aydUcpRSLUqjbg33qhl3sRx_xW_i-v8rWVmxuTudCSsvep52tnhttAR1TXSzVdghBE2LQE09AY/s72-c/1.jpg
DIMBWI LA HABARI TZ
https://dimbwilahabari.blogspot.com/2017/08/polisi-yaanza-kuchunguza-mlipuko.html
https://dimbwilahabari.blogspot.com/
https://dimbwilahabari.blogspot.com/
https://dimbwilahabari.blogspot.com/2017/08/polisi-yaanza-kuchunguza-mlipuko.html
true
8218800783604508792
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago