post-feature-image
HomeHABARI

Wanawake watano wafariki kwa kuchomwa moto

  Thursday, July 27, 2017   WANAWAKE watano wameuawa kwa kuchomwa moto Kijiji cha Undomo, Uchama, Nzega mkoani Tabora kwa t...

Dkt.Shika ajipanga kuvuta jiko.
TRA YAFUNGUKA KUHUSU KAKOBE KUVHUNGUZWA.
BREAKING: Zitto Kabwe mikononi mwa Polisi asubuhi hii


WANAWAKE watano wameuawa kwa kuchomwa moto Kijiji cha Undomo, Uchama, Nzega mkoani Tabora kwa tuhuma za kuhusika na imani za kishirikina.

Kufuatia tukio hilo, Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri ameziagiza kamati za ulinzi za mkoa na wilaya kusitisha mara moja kazi zote za sungusungu kwa madai kwamba sungusungu hao wanahusika na mauaji hayo na kuvitaka vyombo vya usalama kuhakikisha vinawakamata na kuwafikisha mbele ya sheria watu wote wanaohusika.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Wilbroad Mutafungwa amethibitisha kutokea kwa tukio hilo huku akiwataja waliouawa kuwa ni Ester Kaswahili, Njungu Maswari, Christina Said, Kabula Kagito.

Kamanda Mutafungwa ameeleza kwamba wamewakamata viongozi wa eneo tukio hilo lilipotokea, akiwemo diwani, Ofisa mtendaji wa kata na Ofisa mtendaji wa kijiji kwa madai kwamba walikuwa wakifahamu kinachoendelea kwenye eneo lao lakini kwa makusudi, waliamua kutotoa taarifa kwa jeshi la polisi, jambo lililosababisha wanawake hao wauawe kikatili.
Name

BURUDANI HABARI MAKALA MICHEZO
false
ltr
item
DIMBWI LA HABARI TZ: Wanawake watano wafariki kwa kuchomwa moto
Wanawake watano wafariki kwa kuchomwa moto
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi9GtgloHj4PB830MdcZ1NEB2itPVFymjDuvCS_vRHyBcraeYNKy9_frkanI4Lrs4buiUjWsehH1qo8LYI3rfPB-6AlNYk7jUFgbnYREyc5hjK9VsOVlts_PsfVk1ErQhhBiYVTdshtpvE/s400/pic%252Bwapenzi.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi9GtgloHj4PB830MdcZ1NEB2itPVFymjDuvCS_vRHyBcraeYNKy9_frkanI4Lrs4buiUjWsehH1qo8LYI3rfPB-6AlNYk7jUFgbnYREyc5hjK9VsOVlts_PsfVk1ErQhhBiYVTdshtpvE/s72-c/pic%252Bwapenzi.jpg
DIMBWI LA HABARI TZ
https://dimbwilahabari.blogspot.com/2017/07/wanawake-watano-wafariki-kwa-kuchomwa.html
https://dimbwilahabari.blogspot.com/
https://dimbwilahabari.blogspot.com/
https://dimbwilahabari.blogspot.com/2017/07/wanawake-watano-wafariki-kwa-kuchomwa.html
true
8218800783604508792
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago