post-feature-image
HomeHABARI

Mdogo wake Lissu afunguka kanisani kwa Gwajima

Sunday, September 10, 2017   Vincent, mdogo wake Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu amesema kabla ya kaka yake kusham...

Matokeo Kidato cha Sita : Wasichana Waongoza kwa Kufaulu
Shule 10 zilizofanya vibaya matokeo ya kidato cha sita.


Vincent, mdogo wake Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu amesema kabla ya kaka yake kushambuliwa kwa kupigwa risasi aliwaeleza kwamba kuna mtu anafuatilia gari lake.

Akizungumza wakati wa ibada ya kumwombea Lissu iliyofanyika katika Kanisa la Ufufuo na Uzima leo Jumapili, amesema alimwona kaka yake akiwa amelala kitandani hospitalini mwili ukiwa na damu.

Amesema alipoamka leo asubuhi alielezwa na mtu kuwa kuna ibada maalumu ya kumwombea Lissu, hivyo akaamua kuhudhuria katika kanisa hilo la Mchungaji Josephat Gwajima.

Vincent amesema baada ya kaka yake kushambuliwa Alhamisi wiki hii, alienda Dodoma na kwamba anawashukuru madaktari waliofanya kila waliloweza kuokoa maisha ya ndugu yake.

Amesema kaka yake ni mpenda haki tangu akiwa mdogo na ameomba wananchi wazidi kumuombea.

Lissu hivi sasa anaendelea na matibabu katika Hospitali ya Aga Khan jijini Nairobi nchini Kenya.

Katika shambulio lililofanywa na watu wasiofahamika nyumbani kwa Lissu Area D mjini Dodoma, mbunge huyo alipigwa risasi tano.

Mwananchi:
Name

BURUDANI HABARI MAKALA MICHEZO
false
ltr
item
DIMBWI LA HABARI TZ: Mdogo wake Lissu afunguka kanisani kwa Gwajima
Mdogo wake Lissu afunguka kanisani kwa Gwajima
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhEE_I_OLTKyGuMeV5JUQQJUTYC7VRO1LTA1IZh392hTwB6sr14gp8uqlmjAhk0xzVN0G2LiiRZa7cUMBLJPqQmI57pjDr_bbsUFgQP2RCETgSIL_4N-h5q0AZzUI3TaNU01FL9rMJFjGwU/s400/Tundu+Lissu+.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhEE_I_OLTKyGuMeV5JUQQJUTYC7VRO1LTA1IZh392hTwB6sr14gp8uqlmjAhk0xzVN0G2LiiRZa7cUMBLJPqQmI57pjDr_bbsUFgQP2RCETgSIL_4N-h5q0AZzUI3TaNU01FL9rMJFjGwU/s72-c/Tundu+Lissu+.jpg
DIMBWI LA HABARI TZ
https://dimbwilahabari.blogspot.com/2017/09/mdogo-wake-lissu-afunguka-kanisani-kwa.html
https://dimbwilahabari.blogspot.com/
https://dimbwilahabari.blogspot.com/
https://dimbwilahabari.blogspot.com/2017/09/mdogo-wake-lissu-afunguka-kanisani-kwa.html
true
8218800783604508792
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago