post-feature-image
HomeHABARIMAKALA

Trump na Merkel waongoza kumbukumbu za mshindi wa tuzo ya Nobel Liu Xiaobo 14 july 2017 Hivi ni viunganisho vya nje na vitafungua kat...

Je wajua Sifa za Mwanamke wa Kuoa?
Unaifahamu Nguzo Muhimu kwa Mafanikio ya Biashara yako?
Matumizi Mabaya Ya Fedha Ni Adui Wa Mafanikio

Trump na Merkel waongoza kumbukumbu za mshindi wa tuzo ya Nobel Liu Xiaobo

14 july 2017
Image captionLiu Xiaobo alikua mtu maarufu zaidi nchini China
Rais Trump na kansela wa Ujerumani Angela Merkel wameongoza kumbukumbu za mchina aliyeshinda tuzo ya amani ya Nobel Liu Xiaobo, ayelikufa kutokana na saratani ya ini.
Trump ameelezea kusikitishwa na kifo hicho
Image captionTrump ameelezea kusikitishwa na kifo hicho
Hata hivyo, serikali ya Beijing ambayo ilimhukumu kifungo cha miaka kumi jela kwa tuhuma za kutaka kupindua serikali haijatambua kifo chake.
Kukosekana kwa Liu katika tuzo za mwaka 2010 kuliwakilishwa na kiti pekee
Image captionKukosekana kwa Liu katika tuzo za mwaka 2010 kuliwakilishwa na kiti pekee
Mpaka sasa taarifa ya kifo chake haijatajwa katika vyombo vya habari vya nchi hiyo, huku taarifa kutoka vyombo vya kimataifa zikichujwa nchini China.
Merkel amesifu ujasiri wa Liu Xiaobo huku Trump nae akisema amesikitishwa na taarifa za kifo cha mtu ambae alijitolea maisha yake kwa ajili ya demokrasia
Name

BURUDANI HABARI MAKALA MICHEZO
false
ltr
item
DIMBWI LA HABARI TZ
https://ichef.bbci.co.uk/news/660/cpsprodpb/A00C/production/_96927904_c14eab93-d88b-461a-95da-492b1d72548f.jpg
DIMBWI LA HABARI TZ
https://dimbwilahabari.blogspot.com/2017/07/trump-na-merkel-waongoza-kumbukumbu-za.html
https://dimbwilahabari.blogspot.com/
https://dimbwilahabari.blogspot.com/
https://dimbwilahabari.blogspot.com/2017/07/trump-na-merkel-waongoza-kumbukumbu-za.html
true
8218800783604508792
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago