post-feature-image
HomeHABARI

Marekani yasitisha shughuli ya kutafuta wanajeshi waliotoweka baharini

  Sunday, August 06, 2017   Maafisa nchini Marekani wamesitisha oparesheni ya kutafua wanajeshi watatu ambao wametoweka ba...

Pwani: Mwanamke auawa, Polisi watangaza vita!
Tangazo la nafasi za kazi 3,152 kutoka Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto.
Serikali Yatoa Onyo kwa Wanaotumia Vibaya Mitandao ya Kijamii


Maafisa nchini Marekani wamesitisha oparesheni ya kutafua wanajeshi watatu ambao wametoweka baada ya ndege yao kuanguka nje ya pwani wa Australia.

Kisa hicho cha siku ya Jumamosi kilihusu ndege ya MV-22 Osprey inayomilikiwa na kikosi kilicho na kambi huko Okinawa Japan.

Kikosi kinachoendesha shughuli ya kuwatafuta kinasema sasa kimeanzisha oparesheni yaa kutafuta inayoweza kudumu miezi kadhaa.

Gazeti la Daily Telegraph lilinukuu taarifa za kijeshi zikisema kuwa ndege hiyo imekuwa ikijaribu kutua kwenye meli ya kivita ya USS Ronald Reagan.

Vikosi vya Marekani vimekuwa vikihudumu eneo kama sehemu ya mazoezi ya pamoja yanayojuliana kama Talisman Sabre yanayowajumuisha wanajeshi 30,000 kutoka nchi zote mbili.
Name

BURUDANI HABARI MAKALA MICHEZO
false
ltr
item
DIMBWI LA HABARI TZ: Marekani yasitisha shughuli ya kutafuta wanajeshi waliotoweka baharini
Marekani yasitisha shughuli ya kutafuta wanajeshi waliotoweka baharini
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhw9zrgfbB5GGNGTqdCdK3Ka-WOgWoekTeYiYRniPwiKm8D_QlGSLCaASrxOoVHdG6CrENXdjG_lvoe4V23HG2b1qNdffoy6O_LUK7ilZ3fjtItjbIBGluo0pqlWdv7yYCFVYT-SLxWMTx3/s640/_97226259_9dcd6e1a-43ff-45d4-9459-670ddeb1242d.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhw9zrgfbB5GGNGTqdCdK3Ka-WOgWoekTeYiYRniPwiKm8D_QlGSLCaASrxOoVHdG6CrENXdjG_lvoe4V23HG2b1qNdffoy6O_LUK7ilZ3fjtItjbIBGluo0pqlWdv7yYCFVYT-SLxWMTx3/s72-c/_97226259_9dcd6e1a-43ff-45d4-9459-670ddeb1242d.jpg
DIMBWI LA HABARI TZ
https://dimbwilahabari.blogspot.com/2017/08/marekani-yasitisha-shughuli-ya-kutafuta.html
https://dimbwilahabari.blogspot.com/
https://dimbwilahabari.blogspot.com/
https://dimbwilahabari.blogspot.com/2017/08/marekani-yasitisha-shughuli-ya-kutafuta.html
true
8218800783604508792
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago