post-feature-image
HomeHABARI

Safari za meli kutoka Mtwara mpaka Comoro zazinduliwa August 20 20017   Jumuiya ya wafanyabiashara wenye viwanda na wakuli...

Polisi Yaanza Kuchunguza Mlipuko Ulioteketeza Ofisi za Mawakili Fatma Karume na Lawrence Marsha
India: Mke aruhusiwa kuachwa na bwana kwa sababu nyumba yao haina choo

Safari za meli kutoka Mtwara mpaka Comoro zazinduliwa

Jumuiya ya wafanyabiashara wenye viwanda na wakulima TCCIA mkoani Mtwara kwa kushirikiana na serikali ya Comoro imezindua safari za meli kutoka Mtwara mpaka Comoro.

Akiz ungumza baada ya uzinduzi huo, Kaimu M kuu wa mkoa wa Mtwara amba y e ni mkuu wa wilaya ya Mtwara EVODI MMANDA, amewataka wafanyabiashara mkoani humo kuchangamkia fursa za kibiashara huku akitoa msisitizo kwa bidhaa za chakula.

Amesisitiza kuwa vyakula aina ya viazi, nyanya, choroko, mbaazi na bidhaa nyi ngine zote zinapatikana mkoani Mtwara, hivyo wajasiria mali hawana budi kufungasha bidhaa hizo katika ubora unaostaili ili waweze kufanya biashara ya uhakika.

Kwa upande wake, Mwenyekiti wa TCCIA mkoa wa Mtwara, Bwana SAIDI SWALLAH amesema kuzinduliwa kwa meli hiyo ni fursa kwa wafanybishara kwani sehemu kubwa ya nchi ya komoro inaagiza chakula kutoka Madagascar ikiwemo nyama ya ng'ombe na mbuzi hivyo ni fursa kwa Tanzania.

Kwa upande wake balozi wa Comoro hapa nchini Dakta AHAMADI FAKHII amesema lengo la Rais wa Comoro na Tanzani ni kuona uchumi wan chi hizo unakuwa kwa kasi, hivyo wafanyabiashara hawana budi kutumia frusa hizo kukuza uchumi wan chi hizo.

Name

BURUDANI HABARI MAKALA MICHEZO
false
ltr
item
DIMBWI LA HABARI TZ
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi29oMX2W-5Tj7pHlLkCHRHi9pvIubtrcLExMmQhSEO6g2sLfOw2AuzWCQRkvAXbTtcGEjqhH1aKIE8mTEotY0VQLhE8HJZ4D_8CKZA_LU6Wku2ZrJXT381y6MuNFYNRLNxX44P6sm1dqRL/s400/BANDARI-YA-MTWARA.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi29oMX2W-5Tj7pHlLkCHRHi9pvIubtrcLExMmQhSEO6g2sLfOw2AuzWCQRkvAXbTtcGEjqhH1aKIE8mTEotY0VQLhE8HJZ4D_8CKZA_LU6Wku2ZrJXT381y6MuNFYNRLNxX44P6sm1dqRL/s72-c/BANDARI-YA-MTWARA.jpg
DIMBWI LA HABARI TZ
https://dimbwilahabari.blogspot.com/2017/08/safari-za-meli-kutoka-mtwara-mpaka.html
https://dimbwilahabari.blogspot.com/
https://dimbwilahabari.blogspot.com/
https://dimbwilahabari.blogspot.com/2017/08/safari-za-meli-kutoka-mtwara-mpaka.html
true
8218800783604508792
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago