post-feature-image
HomeHABARI

Friday, April 20, 2018 Polisi waua majambazi wanne Pwani

Majambazi wanne wameuawa  na polisi asubuhi ya leo Ijumaa Aprili 20, wakati wakijaribu kupora Kisarawe mkoani Pwani. Kabla ya kuuawa ...

Vitu Vinavyo Sababisha Usiwe Tajiri
Wasomi waikosoa NEC
Majambazi wanne wameuawa  na polisi asubuhi ya leo Ijumaa Aprili 20, wakati wakijaribu kupora Kisarawe mkoani Pwani.

Kabla ya kuuawa yalitokea majibizano ya risasi kati yao na askari Polisi.

Imedaiwa majambazi hao wametokea jijini Dar es Salaam na walikuwa wanatumia gari lenye namba za kibalozi hatua iliyosababisha askari wa usalama barabarani kutowahisi chochote kwani gari hizo sio rahisi kusimamishwa ovyo.

Mkuu wa Mkoa wa Pwani, ambaye pia ni Mwenyekiti Kamati ya Ulinzi na Usalama mkoani Pwani, Evarist Ndikilo amethibitisha tukio hilo.
 chanzo mpekuzi.
Name

BURUDANI HABARI MAKALA MICHEZO
false
ltr
item
DIMBWI LA HABARI TZ: Friday, April 20, 2018 Polisi waua majambazi wanne Pwani
Friday, April 20, 2018 Polisi waua majambazi wanne Pwani
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhTr-HzYZ7iW1LsdMohBO5yDh6pTmCHPeL_MuZT5Ak6mRMULmM4BDW6xi_xpaKL7QbxPuhJKBjS81exwHnfI1Jp8J_wmX533IHd1krF6bMOVBrcUtYHODVTIJYBrShf8ZsDv_cvtCkXFT0y/s1600/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhTr-HzYZ7iW1LsdMohBO5yDh6pTmCHPeL_MuZT5Ak6mRMULmM4BDW6xi_xpaKL7QbxPuhJKBjS81exwHnfI1Jp8J_wmX533IHd1krF6bMOVBrcUtYHODVTIJYBrShf8ZsDv_cvtCkXFT0y/s72-c/1.jpg
DIMBWI LA HABARI TZ
https://dimbwilahabari.blogspot.com/2018/04/friday-april-20-2018-polisi-waua.html
https://dimbwilahabari.blogspot.com/
https://dimbwilahabari.blogspot.com/
https://dimbwilahabari.blogspot.com/2018/04/friday-april-20-2018-polisi-waua.html
true
8218800783604508792
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago