post-feature-image
HomeHABARI

Rais Magufuli achukizwa na Mitandao ya Kijamii

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amefunguka na kudai kuna ugonjwa umewaingia watanzania wa kupenda kua...


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amefunguka na kudai kuna ugonjwa umewaingia watanzania wa kupenda kuamini kila kitu kitakachokuwa kinaandikiwa na kuwekwa katika mitandao ya kijamii hata kama sio za kweli.

Dkt. Magufuli amesema hayo leo April 20, 2018 wakati akiwaapisha Majaji, Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Wakili Mkuu wa Serikali, Naibu Wakili Mkuu wa Serikali na Naibu Mkurugenzi wa Mashitaka, Ikulu jijini Dar es Salaam na kusema kuwa watu wanatumia uhuru wao vibaya na kupotosha watu kuhusu upotevu wa fedha hizo na kuleta taharuki katika nchi.

"Kuna ugonjwa tumeupata sisi watanzania wa kuamini kila kinachoandikwa kwenye mitandao ni cha kweli, sasa sijui huu ugonjwa umetoka wapi lakini ni kwasababu hii mitandao hatui-control sisi. Wako huko wenye mitandao yao ambao wenyewe wako busy na kutengeneza bussiness na hawajali na matatizo mtakayopata na ndio maana mkienda katika nchi kama China sina uhakika kama wana Google na WhatsApp kama tulizonazo sisi ndio maana kila mmoja anapojifikiria ana-post chochote", amesema Dkt. Magufuli.

Kwa upande mwingine, Rais Magufuli amesema uwepo wa uhuru nchini ndio unasababisha kila mtu ku-post kile anachojisikia katika mitandao ya jamii na kuwaaminisha watu.

chanzo:muungwana

Name

BURUDANI HABARI MAKALA MICHEZO
false
ltr
item
DIMBWI LA HABARI TZ: Rais Magufuli achukizwa na Mitandao ya Kijamii
Rais Magufuli achukizwa na Mitandao ya Kijamii
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgMXUTuRNxYjlhDGsSPGTuW_P2Iphz17vv-ZDMBYIF0eacDT-tFwZ6Yu_XxQMOrAmw6zEvI3uSvM6N3ynqoP-SNm3Wt-YI8iPNFRX3b0gwtw3jJvZGZrH83MoNVmRcenxvRzV9hV8c0NOI/s640/jpm0.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgMXUTuRNxYjlhDGsSPGTuW_P2Iphz17vv-ZDMBYIF0eacDT-tFwZ6Yu_XxQMOrAmw6zEvI3uSvM6N3ynqoP-SNm3Wt-YI8iPNFRX3b0gwtw3jJvZGZrH83MoNVmRcenxvRzV9hV8c0NOI/s72-c/jpm0.jpg
DIMBWI LA HABARI TZ
https://dimbwilahabari.blogspot.com/2018/04/rais-magufuli-achukizwa-na-mitandao-ya.html
https://dimbwilahabari.blogspot.com/
https://dimbwilahabari.blogspot.com/
https://dimbwilahabari.blogspot.com/2018/04/rais-magufuli-achukizwa-na-mitandao-ya.html
true
8218800783604508792
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago