post-feature-image
HomeHABARI

Mwenyekiti wa Chadema atimuliwa

DIMBWI LA HABARI monday 16/4/2018. Chama cha Demokra...

Askofu Gwajima Awashangaa Viongozi wa Dini Kufumbua Maovu Yayoendelea Nchini
Sunday, September 10, 2017 Rais Magufuli ateua Jaji Mkuu wa Tanzania
Polisi Yaanza Kuchunguza Mlipuko Ulioteketeza Ofisi za Mawakili Fatma Karume na Lawrence Marsha


Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia baraza kuu la uongozi Mkoa wa Morogoro limemvua James Mkude nafasi aliyekuwa akiishika ya Mwenyekiti wa Manispaa ya Morogoro kutokana na tuhuma za kujihusisha na matukio yaliyo kinyume na katiba ya chama hicho.

Hayo yamebainishwa na Mwenyekiti wa chama hicho mkoani humo ambaye pia ni Mbunge wa jimbo la Mlimba Suzani Kiwanga na kusema hatua hiyo imekuja baada ya kujiridhisha na tuhuma zilizo wasilishwa ndani ya chama hicho ingawa ni tuhuma binafsi zinazomkabili mwenyekiti huyo aliyesimamishwa na kwamba hazihusiani na chama.

Akitoa maadhimio ya wajumbe wa baraza la uongozi la chama hicho mkoa wa Morogoro waliokutana kujadili muenendo wa mwenyekiti huyo, Bi. Suzani amesema kuwa kwa mujibu wa katiba ya chama hicho ya mwaka 2006 toleo la mwaka 2016 kifungu cha saba pamoja na maadili ya uongozi kinatoa mamlaka kwa baraza hilo kumsimamisha mtu yeyote atakae kiuka maadili ya kinidhamu ya chama hicho.
Name

BURUDANI HABARI MAKALA MICHEZO
false
ltr
item
DIMBWI LA HABARI TZ: Mwenyekiti wa Chadema atimuliwa
Mwenyekiti wa Chadema atimuliwa
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgVY9ZdfLkDBvEUki_ayMd3RHcbJoxgnLO-CNbwda3jFuto6S0zcaX94sOzJ16WkrdX6MJDak9H8VjkljZHpJewwB891S2ssZXim7860jAfECiBy_14AOCqanXhY-P7Go52a_b-GJa8-5U/s640/Suzan+Kiwanga.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgVY9ZdfLkDBvEUki_ayMd3RHcbJoxgnLO-CNbwda3jFuto6S0zcaX94sOzJ16WkrdX6MJDak9H8VjkljZHpJewwB891S2ssZXim7860jAfECiBy_14AOCqanXhY-P7Go52a_b-GJa8-5U/s72-c/Suzan+Kiwanga.jpg
DIMBWI LA HABARI TZ
https://dimbwilahabari.blogspot.com/2018/04/mwenyekiti-wa-chadema-atimuliwa.html
https://dimbwilahabari.blogspot.com/
https://dimbwilahabari.blogspot.com/
https://dimbwilahabari.blogspot.com/2018/04/mwenyekiti-wa-chadema-atimuliwa.html
true
8218800783604508792
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago